Test Index

KJSEA Kiswahili 2026 Paper 1

Show Para  Hide Para 
Question Numbers: 18-20
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 18 hadi la 20.
Wanafunzi wanne wa shule ya Tumaini walikuwa wakizungumza kuhusu mapambo watakayotumia wakati wa mashindano ya drama. Mchezo wao ulihusu mfalme na utawala wake.
Danieli alipendekeza kujipamba kwa shanga, taji na kofia. Amani aliamua kujipamba kwa njuga, shanga na taji. Clara naye alichagua vipuli, taji na kofia, ilhali Neema alipendekeza kujipamba kwa mshipi, vipuli na njuga.
© africaexams.com
Question : 18
Total: 50
Go to Question:
Advertisements