Kiwakilishi ni neno linalosimama mahali pa nomino. Katika sentensi hii hakuna nomino kabla ya kubwa; neno Hilo linasimama mahali pa nomino (k.v. jiwe), kwa hivyo ni kiwakilishi cha kuonyesha.Kubwa ni kivumishi, mno ni kielezi, na wake ni kivumishi kimilikishi kinachoeleza fundi.Jibu:Chaguo B (Hilo)