Test Index
KPSEA Kiswahili 2024 Paper
Show Para
Question Numbers: 13-15Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.Kadu, Sai, Tola na Soni ni wanafunzi katika Shule ya Msingi ya Jikaze. Wote wanapenda michezo. Mwalimu wao huwahimiza kushiriki katika michezo mbalimbali.Vilevile, wao husoma mtandaoni kwamba michezo hujenga misuli na kuboresha afya. Siku moja, waliamua kujadili kuhusu michezo waipendayo. Kila mmoja wao alitaja michezo inayomfurahisha. Lifuatalo ni jedwali la michezo waliyotaja.
| Kadu | kwata | hoki | chesi | kandanda |
| Sai | voliboli | kwata | kandanda | kibe |
| Tola | chesi | voliboli | hoki | kwata |
| Soni | kandanda | chesi | kwata | hoki |
© africaexams.com
Question : 15
Total: 30
Go to Question: