Test Index
KPSEA Kiswahili 2025 Paper
Show Para
Question Numbers: 10-12Swali la 10 hadi la 12Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu maswali.Yusuf, Ali, Amina na Pendo huzingatia lishe bora. Pamoja na kula vyakula vyenye wanga na protini, wao hula mboga na matunda ili kupata vitamini. Jedwali lifuatalo linaonyesha matunda ambayo kila mmoja anakula kwa siku nne zilizoonyeshwa.
| Jumatatu | Jumanne | Jumatano | Alhamisi | |
|---|---|---|---|---|
| Yusuf | pera | zabibu | tikitimaji | embe |
| Ali | tikitimaji | tufaha | pera | zabibu |
| Amina | papai | papai | pera | tikitimaji |
| Pendo | embe | papai | zabibu | pera |
Go to Question: