Test Index

KJSEA Kiswahili 2026 Paper 1

Show Para  Hide Para 
Question Numbers: 23-25
Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 23 hadi la 25.
(Linda na Maua wanatembea kuelekea nyumbani wakizungumza.)
Linda: Shughuli niliyokutajia itafanyika kesho.
Maua: Mimi nimeshakata tamaa. Sioni tukifaulu kuchaguliwa kama wasanii bora.
Linda: Sikiza rafiki yangu! Fursa hii tumeitamani kwa muda mrefu. Sasa imepatikana.
Maua: Tutapewa fursa ya kuonyesha ubunifu wetu kweli?
Linda: Nina hakika fursa tutapewa na waamuzi watavutiwa na vipaji vyetu. Naomba ujiamini kuwa tutapata nafasi ya kuigiza kwenye filamu hiyo.
Maua: (Akitabasamu.) __23__ Linda. Nitafika mapema kesho ili tuandamane.
© africaexams.com
Question : 24
Total: 50
Go to Question:
Advertisements