Test Index
KJSEA Kiswahili 2026 Paper 1
Show Para
Question Numbers: 23-25Soma kifungu kifuatacho kisha ujibu swali la 23 hadi la 25.(Linda na Maua wanatembea kuelekea nyumbani wakizungumza.)Linda: Shughuli niliyokutajia itafanyika kesho.Maua: Mimi nimeshakata tamaa. Sioni tukifaulu kuchaguliwa kama wasanii bora.Linda: Sikiza rafiki yangu! Fursa hii tumeitamani kwa muda mrefu. Sasa imepatikana.Maua: Tutapewa fursa ya kuonyesha ubunifu wetu kweli?Linda: Nina hakika fursa tutapewa na waamuzi watavutiwa na vipaji vyetu. Naomba ujiamini kuwa tutapata nafasi ya kuigiza kwenye filamu hiyo.Maua: (Akitabasamu.) __23__ Linda. Nitafika mapema kesho ili tuandamane.
© africaexams.com
Question : 25
Total: 50
Go to Question: