Test Index
KPSEA Kiswahili 2026 Paper
Show Para
Question Numbers: 1-5Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali.(Ni jioni, nyumbani. Maria anamwandalia nyanya yake chajio.)Maria: (Akimkaribisha mezani.) Nyanya, keti. Natumai umeshinda salama.Nyanya: (Akisafisha koo.) __1__ Nimeshinda salama. Je, wewe?Maria: Sina neno Nyanya. Karibu mezani. Leo tumekuandalia viazi vitamu, kabeji na maziwa lala. Pia, kuna tikitimaji.Nyanya: Enhe! Ninapenda vyakula hivyo. Vina virutubishi vyote vinavyohitajika mwilini.Maria: (Akitabasamu.) Kweli kabisa, Nyanya. Tunahimizwa kuzingatia lishe bora. Haya! Nikupakulie Nyanya?Nyanya: Bila shaka, mjukuu wangu.(Maria anampakulia Nyanya na kujipakulia.)
© africaexams.com
Question : 3
Total: 30
Go to Question: