Test Index

KPSEA Kiswahili 2026 Paper

Show Para  Hide Para 
Question Numbers: 1-5
Soma mazungumzo yafuatayo kisha ujibu maswali.
(Ni jioni, nyumbani. Maria anamwandalia nyanya yake chajio.)
Maria: (Akimkaribisha mezani.) Nyanya, keti. Natumai umeshinda salama.
Nyanya: (Akisafisha koo.) __1__ Nimeshinda salama. Je, wewe?
Maria: Sina neno Nyanya. Karibu mezani. Leo tumekuandalia viazi vitamu, kabeji na maziwa lala. Pia, kuna tikitimaji.
Nyanya: Enhe! Ninapenda vyakula hivyo. Vina virutubishi vyote vinavyohitajika mwilini.
Maria: (Akitabasamu.) Kweli kabisa, Nyanya. Tunahimizwa kuzingatia lishe bora. Haya! Nikupakulie Nyanya?
Nyanya: Bila shaka, mjukuu wangu.
(Maria anampakulia Nyanya na kujipakulia.)
© africaexams.com
Question : 4
Total: 30
Go to Question:
Advertisements